Jumatano, 24 Januari 2018

Angalia vipaji vya watu hapo na ujiulize kipaji chako ni kipi ndugu msomaji blog

SANCHEZ ASAINI KUICHEZEA MAN UNITED MIAKA MINNE NA NUSU

Hatimae aliyekuwa nyota wa klabu ya arsenal kwa miaka minne Alexis Sanchez amesaini kuichezea Man United kwa miaka minne imeripotiwa. Habari kutoka ndani ya klabu ya manchester united zinasema Sanchez amejiunga na timu hiyo kwa kufanya mabadilishano na arsenal waliyomchukua mhikitaryan kutoka mancher united.