Alhamisi, 27 Mei 2021

FUNNY MOMENT

 Sometimes youneed time to clear your head after a long day of struggling. Here we go.............................................

Jumatano, 24 Januari 2018

Angalia vipaji vya watu hapo na ujiulize kipaji chako ni kipi ndugu msomaji blog

SANCHEZ ASAINI KUICHEZEA MAN UNITED MIAKA MINNE NA NUSU

Hatimae aliyekuwa nyota wa klabu ya arsenal kwa miaka minne Alexis Sanchez amesaini kuichezea Man United kwa miaka minne imeripotiwa. Habari kutoka ndani ya klabu ya manchester united zinasema Sanchez amejiunga na timu hiyo kwa kufanya mabadilishano na arsenal waliyomchukua mhikitaryan kutoka mancher united.




Jumanne, 31 Oktoba 2017

VERY IMPORTANT TO READ!!!!

VNaomba radhi kwa wapenzi wasomaji wa blog hii kwa kutokutoa machapisho kwa muda mrefu sasa. Hii ni kutokana na madiliko kidogo ya majukumu na muda wa kutoa machapisho hayo. Lakini niwatoe wasi wasi na kuwaahid kuwa tutakuwa pamoja ktk kuhakikisha machapisho yanawekwa na kukufikieni kwa wakati. Asanteni sana .......Blogger Kadasula

Jumamosi, 1 Oktoba 2016

MANENO YA UTANI YA ZITTO KABWE KUSHANGILIA GOLI LA MKONO LA YANGA

October 1,kulichezwa mechi ya watani  wa jadi kati Simba na Yanga na timu hizo kutoka sare ya kufungana mabao 1-1. Kufuatia goli la Yanga lililofungwa na mchezaji Hamis  Tambwe kusemekana limefungwa kwa mkono, mh. Zitto Kabwe akatumia account yake  ya twitter kumwandikia Freeman Mbowe ambaye ni mshabiki wa Yanga "Mwenyekiti wangu Freeman Aikael Mbowe umetambua goli la mkono lakin umeshindwa kumtambua Lipumba km mwenyekiti CUF".







MECHI YA WATANI WA JADI

Mechi ya watani wa jadi  kati ya Simba na Yanga  imemalizika kwa timu hizo kutoka sare ya mabao  1-1. Yanga  ilikuwa  timu  ya kwanza kujipatia bao lake la kuongoza dakika ya 26 ya mchezo kupitia mchezaji wake mahiri Hamis  Tambwe.Bao hilo  lilileta vurugu kwa mashabiki wa Simba hadi kupelekea kung'oa viti  na kuvitupa uwanjani,,,katika vurugu hizo ilipekea mchezaji nahodha wa Simba Jonas Mkude kupigwa kadi nyekundu. Simba iliendelea kucheza ikiwa pungufu hadi dakika ya 87 ya mchezo,mshambuliaji Kichuya wa Simba alivyosawazishia  timu yake  kwa goli safi la mpira wa kona ulioingia moja kwa moja wavuni na kufanya matokeo kuwa  1-1.