Blog hii inahusu taarifa mbali mbali za kisiasa,michezo,elimu,technolojia na matangazo mbali mbali ya biashara
Jumatano, 26 Oktoba 2016
Jumamosi, 1 Oktoba 2016
MANENO YA UTANI YA ZITTO KABWE KUSHANGILIA GOLI LA MKONO LA YANGA
October 1,kulichezwa mechi ya watani wa jadi kati Simba na Yanga na timu hizo kutoka sare ya kufungana mabao 1-1. Kufuatia goli la Yanga lililofungwa na mchezaji Hamis Tambwe kusemekana limefungwa kwa mkono, mh. Zitto Kabwe akatumia account yake ya twitter kumwandikia Freeman Mbowe ambaye ni mshabiki wa Yanga "Mwenyekiti wangu Freeman Aikael Mbowe umetambua goli la mkono lakin umeshindwa kumtambua Lipumba km mwenyekiti CUF".
MECHI YA WATANI WA JADI
Mechi ya watani wa jadi kati ya Simba na Yanga imemalizika kwa timu hizo kutoka sare ya mabao 1-1. Yanga ilikuwa timu ya kwanza kujipatia bao lake la kuongoza dakika ya 26 ya mchezo kupitia mchezaji wake mahiri Hamis Tambwe.Bao hilo lilileta vurugu kwa mashabiki wa Simba hadi kupelekea kung'oa viti na kuvitupa uwanjani,,,katika vurugu hizo ilipekea mchezaji nahodha wa Simba Jonas Mkude kupigwa kadi nyekundu. Simba iliendelea kucheza ikiwa pungufu hadi dakika ya 87 ya mchezo,mshambuliaji Kichuya wa Simba alivyosawazishia timu yake kwa goli safi la mpira wa kona ulioingia moja kwa moja wavuni na kufanya matokeo kuwa 1-1.
Jumatatu, 12 Septemba 2016
Biashara ya karne ya 21
*MAFUNZO KIDOGO KUHUSU ONECOIN*
Darasa la Leo Kuna watu wanakosa fursa kwa kuwa wanakuwa hawajui kwa kina nguvu ya fursa fulani....
LEO NITATOA elimu kidogo juu ya onecoin..
ONECOIN nini? ONECOIN ni pesa ya kidigitali ama wanaita digital currency au crypto currency....pesa hii ya kidigitali haina tofauti na mpesa ama tigopesa...hapa namaanisha nini...ukiwa na 50,000 mpesa hiyo ni digital(number) na si paper notes....hivyo hata onecoin si kwamba ni coin ama sarafu bali ni number kama mpesa etc....hii ni kama technology zingine...mfano ukinunua vocha unapata numbers,kuinunua umeme unapata tokens(numbers) lakini hizi numbers zinakuwa value carrier..na unique..
Hii pesa ya kidigitali inakuja kuboresha na kupanua uwigo wa mobile money transactions kama mpesa etc....kwa kufanya utumaji wa pesa duniani kupitia simu za kumkonini Bila kikwazo....
Haya yote yamewezekana kwa kugulindulika kwa technology mpya duniani iitwayo blockchain technology (digital ledge) daftar la kumbukumbu la kidigitali linalofanya miamala (transactions) na kutunza kumbukumbu automatically Bila kuhitaji mtu wa kati (middle man) ....
Kwa kusema hivyo kupitia digital currency (pesa ya kidigitali) soon tutatuma pesa popote pale duniani instantly kutumia simu zetu za mkononi....kama tunavyotuma mpesa kijijini kwa babu...instantly...
Tofauti na mpesa ambayo inatumia network za simu...digital currency inatumia Internet(blockchain) .......MPESA imeshindwa kuwa global maana inategemea network za simu ..digital currency itakuwa global kwa kuwa inatumia Internet...this means soon utatuma pesa popote pale duniani kama unavyotuma email etc...
Kuna zaidi ya watu 3.3bilion duniania wanaotumia Internet na ifikapo 2020 tutakuwa 5bil sasa kwa technology hii mambo yatakuwa mwendo mdundo......na ifikapo 2020, 90% ya watu duniani watamiliki simu za mkononi......
Usilazie damu fursa hii jifunze sasa fursa hii ya OneCoin uone Kama unaweza Kupata kipato endelevu!!

Jisajili kwenye:
Maoni (Atom)